Breaking News

CHRIS BROWN vs RIHANNA...KUWANIA TUZO MOJA..!Artist waliokua wana-share malavidavi Rihanna na Chris Brown wamechaguliwa kugombea category moja kwenye tuzo za Soul Train Awards 2011
CHRIS BROWN
Rihana na Chris Brown wanagombania tuzo ya The Best Dance Performance na Rihanna anagombea kupitia track yake ya Only Girl (In The World)/What’s My Name,wakati Chris Brown ameingia na track yake ya She Ain’t You na kufanya awe anagombea category 5 tofauti ikiwemo Song Of The Year na Album Of The Year wakati Artist BeyoncĂ© Knowles aka Mrs Jigga anawania tuzo 4 na tuzo hizo zitatolewa jijini Atlanta-Marekani,tarehe 17 November,2011
ROBYN RIHANNA FENTY

No comments