Breaking News

DIAMOND,WEMA....WAMWAGANA...AU ZUGA TU?!....DIAMOND vs WEMA.... Kuna rumours kwa sasa zinazowahusu "Starz wa bongo" wanao-make headlines kwenye magazeti pendwa ya TZ,Bongo Flava Atrist Naseeb Abdul aka Diamond na Miss TZ - 2006,Wema Abraham Sepetu kuwa wamemwagana rasmi....Baada ya kuvalishana pete ya uchumba kwa mbwembwe kwenye birthday party ya Diamond,iliyofanyika usiku wa October 2,2011 pande za New Maisha Club ....KITU CHA PETE.... Imefunguliwa kuwa Diamond aliita mapaparazi pande za Lion Hotel-Sinza na kuwafungulia kuwa 'amempiga chini' shemeji yetu,Wema Sepetu coz picha haziendi na mother yake Diamond,Sandra Sammy kufikia kumshawishi Diamond wasikae wote pande za Sinza,Lakini Diamond kukataa na kuamua bora kumwagana tu na isiwe tabu...Coz Bi Mkubwa ni mtu muhimu zaidi kuliko mchumba....
....DIAMOND vs MAMA YAKE,SANDRA SAMMY....

No comments