Breaking News

LIL WAYNE....ALBUM YA MWISHO....KUSTAAFU GAME..?!

                                          DWAYNE MICHAEL CARTER JR. - LIL WAYNE
Young Money CEO,Dwayne Michael Carter Jr. aka Lil Wayne amefunguka huenda album yake ya The Carter IV ikawa nia ya mwisho na amepanga kustaafu game akiwa na miaka 35
....YOUNG MONEY ARTISTS....Weezy kwa sasa ana miaka 29 coz amezaliwa September 27,1982 na amefunguka sababu kadhaa zikiwemo kuwa,amekua kwenye game kwa miaka 18 sasa na amekamilisha karibu yote anayoyahitaji,Pamoja kuwa na label ya Young Money na kufanikiwa kuwatoa Artist Nick Minaj na Drake na kwa baada ya mafanikio hayo yote,angependa baada ya miaka 6 ijayo (akiwa na miaka 35) awe amepumzika na familia yake....akila bata tu

No comments