Breaking News

PRODUCER DUKE AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI


Leo hii tarehe 26/ 11/2011 producer anae make headline kibongo bongo, katika upande wa mziki,  Duke 
amempoteza mama yake kipenzi "Marry Kapesa"
msanii ambae album yake ya kwanza imetengenezwa na Duke, Ben paul, ameandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa;

"Mtayarishaji mwenye mchango mkubwa katika mafanikio yangu kimuziki ...DUKE amefiwa na mama yake mzazi leo ..msiba upo katikati ya sinza mori na lufungira karibu na meeda ..mtaa wenye hostel za udsm kijitonyama ..ndugu jamaa na marafiki tujitokeze kumpa nguvu brother pamoja na wanafamilia wengine".


MAY HER SOUL REST IN PEACE...AMEN

No comments