Breaking News

RAPPER NAVIO....APIGA MZIGO NA MR FLAVOUR....!                                                                 DANIEL KIGOZI - NAVIO

Hip Hop star toka Uganda,Navio ameungana na Artist toka Nigeria Mr Flavour kupiga tour kwenye nchi za Afrika Mashariki
CHINEDU OKOLI - MR FLAVOUR
Navio na Mr Flavour walikua Dsm na Nairobi kwa showz kadhaa.Na walipokua kwenye tour Navio aligonga collabo 2,moja na Mr Flavour na nyingine na Artist Madtraxx toka Kenya,na ngoma zote zinatarajiwa kuwa released kabla ya mwisho wa mwaka 2011
NAVIO vs MR FLAVOUR
Navio ni mmoja ya wasanii wanaowania tuzo za Channel O,na atapiga show kwenye fainali ya tuzo hizo za Channel O na amechaguliwa kwenye category ya the Best Male category,Best Video category na Best Hip Hop category

No comments