Breaking News

BUSTA RHYMES.....AJIUNGA NA CASH MONEY RECORDS...!


TREVOR TAHIEM SMITH,JR - BUSTA RHYMES
American Rapper,Producer na Actor,Trevor Tahiem Smith,Jr. aka Busta Rhymes amejiunga rasmi na Cash Money Records aka YMCMB
Busta Rhymes ambaye alitamba sana na ngoma za Whoaaa,Dangerous na nyingine kibao,kwa sasa amedondosha single mpya featuring Chris Brown inayoitwa “Why Stop Now” ambayo itakua kwenye studio album mpya ya 9 ya Busta itakayokwenda kwa jina la E.L.E. (Extinction Level Event) 2: End of The World na itakua released kupitia Google Music miezi michache ijayo
Na mwezi November,2011 ngoma yake aliyomuimbia Rapper aliyefariki Heavy D iliyoitwa You Ain’t Gotta Wait Till I’m Gone ilivuja

No comments