Breaking News

JUSTINE BIEBER akubali DNA


baada ya kuwa na siku saba za kuandamwa kwamba amempa ujauzito binti wa miaka 20, hatimae mwimbaji Justine Bieber amekubali kwenda kupima vipimo vya DNA ili ukweli ujulikane kama mtoto huyo ni wake.
Mariah anadai mtoto alie nae wa miezi mitatu sasa hivi, ni wa Justine Bieber ambae walifanya mapenzi siku moja tu huko Carlifonia, kwenye bafu la BACKSTAGE, ambapo Bieber alipomaliza tu kuperform alimuagiza Baunsa wake amuite
Mariah.
baada ya hapo Bieber aliwaondoa watu wote waliokuwemo karibu na bafuni, na kuingia akiwa na Mariah peke yao na KU DO!!!!!
baada ya kukubali kwenda kuchukua vipimo vya DNA, Justine Bieber amesema atamshitaki huyo msichana baada ya matokeo kutoka kwa sababu anaamini hakuhusika na hiyo mimba.
hata hivyo kashfa hiyo haijamuharibia chochote Justine Bieber katika mahusiano yake na SELENA GOMEZ, bado wako pamoja.
                    

No comments