Breaking News

Lil Wayne Shoots ‘Mirror’ Video with Bruno Mars

Lil Wayne and Bruno Mars
Lil Wayne yuko mbioni ku shoot Video ya ngoma yake "Mirror"  track ambayo amemshirikisha Bruno Mars na ambayo kwasasa inashikilia nafasi ya 16 kwenye chart za Billboard hot 100...The Young Money Captain Weezy amesema kua itakua ni video kali kinoma kutoka kwenye Album yake hiyo ya Tha Carter IV ambayo imeweza kuuza mpaka Platinum

No comments