Breaking News

MARC ANTHONY "SIMUITAJI TENA J.LO"

Marc Anthony haitaji tena ruhusa kwa J.lo kwenye swala la kwenda kula bata...toka wanamuziki hawa kutengana mwezi july mwaka huu mtu mzima Marc Anthony amenaswa sehemu tofauti tofauti akiwa anakula raha huku watoto wazuri wakiwa wamemzunguka ambapo juzi kati aliporomosha bonge moja la party akiwa anazindua kipindi chake kipya cha TV ambacho kitakua ni cha mashindano ya kuimba kitakachoanza kuruka mwanzoni mwa mwaka 2012

No comments