Breaking News

....RAPPER KEKO....KUJITOA ..BABOON FOREST LABEL!


KEKO - UGANDAN FEMALE ARTIST
Ugandan Female Hip Hop rapper Keko ana mpango wa kuachana na Label ya Baboon Forest Entertainment na kuamua kuwa solo artist
ERNEST NSIMBI ZAMBA - GNL ZAMBA
Inasemekana baada ya Keko kuchaguliwa kwenye tuzo za Channel O Music Video Awards an Tuzo za PAM Awards za Uganda,amevimba kichwa na kujiona yeye ni zaidi ya manager wake GNL Zamba na pia kudaiwa kuwa dili la mamilioni lakini kinachomvunja moyo ni kugawana percent na Manager wake
Msanii Sheeba Kalungi aliye karibu sana na Keko ndiye aliyemshauri kuachana na Label ya Baboon Forest na kufanya kazi zake mwenyewe

No comments