Breaking News

ALICIA KEYS 2011!!

 
Alicia Keys, mumewe producer Swizz Beatz na mtoto wao wa kwanza!

siku chache baada ya producer SWIZZ na mwimbaji ALICIA KEYS kutangaza hadharani mapenzi yao, na kuamua kuwa MUME na MKE, watu wengi wasiowapenda walifungua midomo yao na kusema ndoa yao haitadumu kwa sababu ALICIA KEYS alimnyang’anya MASHONDA mume wake wa ndoa yani SWIZZ BEATS.
 
lakini imekua tofauti na matarajio ya wengi, ndoa yao bado inazidi kufly high hata kama kuna matatizo wanayamaliza ndani kwa ndani.
 
Alicia amekua mvumilivu, mwaka huu kati kati, kuna wakati msg za kimapenzi za SWIZZ ziliwah kukutwa kwenye simu ya mrembo mmoja na zikasambaa kwenye internet, lakin hakuna maamuzi yoyote magumu na ya wazi yaliyofanywa na Alicia Keys.
 
siku kadhas zilizopita pia SWIZZ alitajwa kuwa anatoka sana nje ya ndoa, lakini mshkaji akaamua kuzizima hizo stori kwa kumnunulia mke wake gari la kifahari

No comments