Breaking News

Black Rhyno ft, Soprano "TAKING OVA"


Baada ya ukimya wa muda mrefu atimaye yule Kifaru mweusi namzungumzia msanii Black Rhyno aka Black Chata amekuja kivingine tena na wimbo wake alioupa jina la TAKING OVA akiwa amemshirikisha msanii anayejulikana kwa jina la SOPRANO, wakati ananipa wimbo huu aliniambia studio iliyofanya wimbo huo ni Dhahabu Rec chini ya producer Mbezi.

No comments