Breaking News

JCB apata mtoto!

Diana na JCB.
staa wa hiphop kutoka Arusha, JCB amepata mtoto wa kiume leo, kupitia kwa mpenzi wake wa longtime, DIANA.
JCB na DIANA wameanza kuishi pamoja karibu miaka mitano iliyopita, na wamepanga kuwa mke na mume katika maisha yao yote.
stori kamili nakuletea muda mfupi ujao, JCB bado yuko hospitali.

No comments