Breaking News

M lab new release: NYAKATI I by Nikki Mbishi ft Grace Matata

Nikki mbishi anaendelea kufunua chapter moja baada ya nyingine katika kitabu chake cha SAUTI YA JOGOO..safari hii yupo  chapter ya 14. NYAKATI ni chapter iliyo maeneo ya katikati ya kitabu hiki cha kusisimua. Original idea ya wimbo huu ulianzia kwa grace matata  ukwia umebeba jina hilo hilo alilolitumia nikki. Mbishi anasema katika ngoma zote za grace matata anayoizimikia kupita zote ni hii, na ndio maana ilim inspire na kuamua kuirudia katika version yake na kumuacha grace katika chorus. Kama huna copy ya SAUTI YA JOGOO basi unapaswa kuipata mapema. Kwa wakazi wa Dare s salaam, maduka ya zezzou fashions, ufishi sinza mori, na Ay commercial yana kitabu hiki cha audio. Kwa wakazi wa mwanza basi fika zai fashions, Arusha etam fashions mtaa wa pangani, iringa unaweza jipatia copy yako country FM kwa bwana steve, Dodoma unaweza jipatia pale photopoint na mbeya inapatikana Jandro stand kuu. Pia SAUTI ya jogoo inapatikana kwenye mitandao mikubwa ya Amazon, iTunes na cdbaby.com .

Na hizi ni details za chapter hii:

Song title: NYAKATI I
Sampled from Original song: NYAKATI by Grace Matata
Written by: Nikki mbishi & Grace Matata
Composed By: nikki, grace and Kanye mujwahuki
Produced by: kanye mujwahuki for M-lab 2011
Mixed and Mastered  by: duketachez
Project: SAUTI YA JOGOO

No comments