Breaking News

MTOTO MPYA WA JCB ALIYEZALIWA LEO APEWA JINA.


Mda mfupi wakati naongea na JCB na kumpa hongera ya kupata mtoto wa kiume nikamuuliza so ataitwa nani, jamaa alikaa kama sekunde mbili tatu halafu akasema tujadiliane aitweje, ndio yeye akafunguka na kusema itabidi aitwe jina la babu yake MAKALLA. Ndipo likapitwishwa na kuwa mtoto huyo wa kwanza katika familia ya JCB ataitwa MAKALLA JACOB

Mtandao wake wa facebook leo ulinukuliwa ukisema hivi
 Nawatakia malezi bora kwa mtoto huyo mpya ndugu zangu, ONE

No comments