Breaking News

MUONEKANO MPYA WA DGOLD!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Msanii Dgold Ambae alitamba na track yake ya HISIA ambayo ilirecodiwa katika studio za Kiumbe chini ya producer Masudi Akiwa amemshirikisha blad key Anaye tamba na ngoma ya vimepanda bei Nakutengeneza vidio yake katika Matrix inc video production Ameingia BK akiwa na mwonekano mpya ,vilevile Dgold ambaye alikua akitangaza katika kituo cha redio vision fm Ambapo picha hizi zinamuonyesha akiwa na Davidon mtangazaji wa radio vision ususani katika kipindi chapolenakazi pamoja na the bash .
UNAWEZA KUANGALIA VIDIO YAKE HAPA CHINI

 

Dgold &Aba one


Mtangazaji wa Vision fm :DAVDON

Dj cashmizo&Dgold

Dj cashmizo & Dgold

 


No comments