Breaking News

MWAKA WA NEEMA 50 NA TI NO BEEF


rapper 50 CENT ameamplfy kwamba amemaliza rasmi ugomvi wake na rapper mwenzake, T.I ambao umedumu kwa mwezi mmoja kupitia mtandano wa kijamii wa twitter.
 
50 amesema japo ugomvi huo ulikua ishu kubwa sana, alijitahidi usije kuleta madhara.
kutokuelewana kulianzia wakati 50 alipotweet kwamba  T.I alipaswa asiende Jela, bali aende mkewe Tameka kutokana na kesi yao ya kukamatwa na dawa za kulevya kwenye gari lao.
 
aliesababisha wapatane ni mshikaji wa 50, ambae pia ni mshkaji wa T.I,alikua anaongea kwenye simu na 50 ndio akampa simu T.I waongee, ishu ikamalizikia hapo.

No comments