Breaking News

RAY AMKERA KANUMBA......


    
KANUMBA, the great ambaye ni msanii anayeongoza kwa kutumiwa na vyombo mablimbali ya habari/biashara kwa ajili ya matangazo amekerwa na maelezo ya Ray aliyoyatoa hivi karibuni kwenye vyombo vya habari kuwa matangazo hayalipi. Ray alidai kuwa unatengeneza tangazo ambalo litadumu kwa mda mrefu lakini malipo yake ni kidogo sana na kudai kuwa hicho ndo kikwazo cha yeye kutojihusisha na matangazo. habari toka kwa rafiki wa karibu na Kanumba zinadai kuwa Kanumba amekerwa na maelezo hayo kwani kwa kiasi kikubwa yalikuwa yakimlenga yeye ambaye kwa kiasi kikubwa amekuwa akitumika sana kutengeneza matangazo.

No comments