Breaking News

SEREKALI YA NIGERIA IMEAMUA KUMFUNGULIA CASE MKALI WA HIPHOP RICK ROSS KUSHIDWA KUFIKA KWENYE TAMASHA LA CALABAR FESTIVAL AMBALO HUFANYIKA NCHINI HUMO.

  Mkali wa hip hop  kutoka miami nchini marekani amefunguliwa case na serikali ya nigeria,case hiyo imefunguliwa baada ya the boss rick ross baada ya kutofika katika show iliyokuwa imeandaliwa huko cross river nigeria tamasha linafahamika kama calabar festival.
Kutokana na habari zilizokuwa kwenye mtandao wa information nigeria .org….rick rozay alicancel kuimba katika tamasha hilo la calabar festival nchini nigeria..tamasha hilo lilikuwa limedhaminiwa na serikali ya cross river….
Licha ya kushindwa kutoa taarifa kwa waandaji wa tamasha hilo kwamba hatafika pia hajarudisha pesa ambazo alishakuwa amelipwa na serikali ya cross river..
Serikali ya cross river imelipa wanasheria huko marekani ili  kumshitaki  rick ross kufuatia kuvunja mkataba aliokuwa amesaini kati yake na serikali ya nigeria..taarifa rasmi ya serikali  ilitolewa kupitia black berry messenger jumatano iliyopita…

No comments