Breaking News

WEMA SEPETU AFUNGUKA NAE JUU YA YEYE NA KANUMBA
Baada ya Kanumba kufunguka kuhusiana na kuchukizwa kwa habari iliyotolewa kwenye gazeti kuhusiana na kurudisha mahosiano kwa Wema Sepetu, Wema naye amefunguka na kucheck kwenye simu na kuniambia amechoka na haya magazeti kuhusu yeye kila siku ili kuweka msisitozo akaamua kunitumia Voice Note ili mumsikie kabisa.

No comments