Breaking News

ALPHA wa TUSKER PROJECT ahamia MAREKANI!

Alpha Rwirangira anaepungia.
mshindi mara mbili wa shindano la TUSKER PROJECT FAME, Mrwanda ALPHA RWIRANGIRA ameondoka kwenda kusomea muziki ndani ya ardhi ya Obama, U.S.A!
 
Lee Ndayisaba ambae ni Meneja wake, amesema ALPHA amekwenda KENTUCKY kusomea DEGREE ya muziki kwa muda wa miaka mitatu ambapo atajilipia ada mwenyewe.
 
mwanzoni serikali ya Rwanda iliahidi kumlipia lakini ikawa imechelewa hivyo ametangulia kama mambo yakienda sawa Serikali ya Rwanda itaendelea kwa kumlipia.

No comments