Breaking News

.......BAADA YA KUVUTA USAFIRI WA GARAMA KUBWA MWISHONI MWA MWAKA 2011, RAY AVUTA TENA USAFIRI WA NGUVU......UKIWA MAKINI SANAA INALIPAGA UJUE...... CHECK OU HIS NEW RIDE.....KAMA imekukera habari hii, nakuomba uipotezee. Ninachoweza kusema ni kwamba sanaa ukiwa makini inalipa kwasasa. Baada ya kupata habari hii tulijaribu kumpatafuta Ray ili athibitishe ukweli wa habari hii. Ray mwenyewe alikili kuwa ni kweli amevuta usafiri huo. Hata hivyo alidai kuwa kwasasa  yuko Nchini China kwa safari ya kikazi. Binafsi nafurahishwa sana na maendeleo ya wasanii hapa nchini.....

No comments