Breaking News

BIFU LINGINE LAFUMKA, PATASHIKA NGUO KUCHANIKA...........

OMG, Wema na Uwoya hapatoshi....... Wasanii hawa pichani juu, ambao siku za hivi karibuni walimaliza BIFU lao kwenye sherehe ya kuzaliwa IRENE UWOYA, leo tena wako kwenye BIFU baya zaidi. BIFU la wasanii hawa limekuja baada ya WEMA kutoa ushauri kwa UWOYA kuwa anatakiwa kumaliza bifu na kumsheshimu mume wake ili warudiane. Ushauri huu ulioneka na ni kichefuchefu kwa UWOYA, Habari zinasema kuwa UWOYA liweka wazi kuwa hawezi kushauriwa na mtu aliyeachika kwenye uchumba kwani hajui chochote kuhusu mambo ya ndoa. Aliongeza kwa kusema kuwa labda WEMA siku hizi amechanganyikiwa..... Naomba anikome kabisa......alisema wema....

No comments