Breaking News

CANIBAL ATAUWEZA MZIKI WA PREZO !Cannibal
Rappa CANNIBAL SHATA wa Kenya, ambae wengi wanaufananisha muonekano wake na lil wyne, leo ametangaza goodnews kuhusu yeye na rapa mwenzake wa Kenya, CMB PREZZO.
New news yenyewe ni kuhusiana na kuunda kundi lao jipya, linaloundwa na wao wawili, ambalo linaitwa MMG (MAKINI/MASAI MUSIC GROUP), Makini ni jina la mwisho la Prezzo na Masai ni jina la mwisho la CANNIBAL.
tayari wamesharekodi single inaitwa TAKE OVER ambayo video yake pia itafata soon pamoja na kazi nyingine za uhakika.
Cannibal amesema “sasa hivi popote utakapo niona mimi na Prezzo yupo, utakapomuona Prezzo na mimi nipo”

No comments