Breaking News

CHRIS BROWN vs RIHANNA...KURUDIANA 2012..?!

CHRIS BROWN vs RIHANNA....UNCO UPON A TIME

Celeb Artist,Rihanna na Chris Brown wamebambwa wakiendelea kuwasiliana kupitia mtandao wa tweeter
Mawasiliano yao kupitia tweeter yameonekana yamekaa kimalavi davi zaidi kwa kila mmoja kuonesha hisia zake za kimapenzi....Na wadau wanafunguka kuwa huenda mwaka huu wakarudiana na kuwa lovers tena!

No comments