Breaking News

CHUMBA ALICHOJIFUNGULIA BEYONCE!

hiki ndio chumba alichojifungulia Beyonce kwa mujibu wa TMZ
kutokana na ustaa alionao, watu wengi wamependa kufaham sehem au vitu mbalimbali vilivyohusika wakati wa mwimbaji Beyonce kujifungua mtoto wake wa kwanza.
alijifungulia kwenye hospitali moja huko New York ambako waliamua kukodi floor nzima ya nne, asiruhusiwe mgonjwa mwingine huku ulinzi ukiwa mkali ambapo pia madaktari, manesi na wafanyakazi wa hospitali hiyo walinyimwa kuingia na simu au camera, sababu kuu ni picha zozote zisivujishwe.

No comments