Breaking News

JAGUAR alivyomjibu PREZZO! (BEEF???)

Jaguar akiwa kazini!
Baada ya wiki iliyopita Rappa CMB PREZZO wa Kenya kutamka kwamba hamfaham msanii JAGUAR ambae inaaminika hawaelewani (BEEF), leo msanii huyo staa wa single ya kigeu geu, JAGUAR amesema anataka ieleweke kwamba HANA ugomvi wowote na wala hamchukii PREZZO.
 
amesema kitu pekee ambacho rappa huyo anapaswa kufaham ni kwamba anatakiwa kuacha MAJIGAMBO aliyonayo, “hizi sio enzi zile alikua anatisha watu kwa kuvaa vitu vya gharama, sasa hivi show tumefanya na hela tunazo pia za kununua, eti yeye ni KING wa showbiz, asipoangalia atapitwa na wakati na hizo porojo zake, sina beef nae mimi nampa ushauri tu” – JAGUAR

No comments