Breaking News

JUSTINE TIMBERLAKE kuoa!!

baada ya mfululizo wa maumivu ya mapenzi, kupanda na kushuka, hatimae wapenzi JUSTINE TIMBERLAKE (30) na mwigizaji/model/ mwimbaji JESSICA BIEL (29) wameamua kuweka wazi mahusiano yao ya kimapenzi, tayari wamepita kwenye pete ya UCHUMBA, na sasa wanasubiria ndoa.

No comments