Breaking News

MAKING THE VIDEO ya SUMA MNAZARET, BEN POL & MABESTE! – TAFAKARI


Mabeste, Ben Pol, Suma Mnazaret & Rich Boy kwenye location.

ilikua zamu ya mshkaji wangu MX CARTER kushika Camera.

video inaitwa TAFAKARI, track ni ya Suma Mnazaret kawashirikisha Ben Pol & Mabeste, Location ni Viwanja vya Posta, kijitonyama

hii ndio Camera inayotumika.

Cameraman mzigoni, ukiangalia kwa haraka haraka unaweza kusema anapiga picha za kawaida, lakini sio, hiyo camera inauwezo wa kupiga still na video pia.

No comments