Breaking News

MUHONEKANO WA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU!

                                      BIG BROTHERMWAKA JANA
Multi Choice Tanzania wametangaza kwamba SHINDANO la BIG BROTHER AFRICA mwaka huu litakalofanyika May, lina mabadiliko machache lakini makubwa.
badiliko la kwanza ni kwamba, sasa hivi badala ya mtu mmoja kuiwakilisha nchi yake, wanakwenda wawili ambapo unapokwenda kushiriki utatakiwa kwenda na mtu mmoja awe baba yako mzazi, mama, dada, rafiki, mpenzi au yoyote utakaemchagua, itabidi awe anajua kiingereza ili mawasiliano yawe mazuri na wengine.
Afisa uhusiano Barbara Kambogi amesema badiliko jingine ni kuongezeka kwa nchi mbili kwenye shindano, nchi ambazo hazikuwepo mwanzoni ambazo ni Liberia na Sierra leone.

No comments