Breaking News

rapper LUDACRIS kufungua mgahawa

Hartsfield-Jackson Atlanta International Airport.
Rappa Ludacris ambae aliperfom kwenye fiesta 10 bongo, july mwaka jana, amethibitisha kwamba anakaribia kufungua mgahawa mkubwa kwenye kiwanja cha ndege nyumbani kwao Atlanta Georgia Marekani, kinachoitwa Hartsfield-Jackson, ambapo uwanja huo huudumia watu milioni 89 kila mwaka, ni kiwanja ambacho kiko busy sana.

No comments