Breaking News

RIHANNA & CHRIS BROWN WALIVYOKUTWA KWENYE CLUB MOJA!

juu ni Chris Brown akiwa na girlfriend wake Karueche pamoja na mshkaji, na chini ni Rihanna akiwa na dereva pamoja na mlinzi wake, inaonekana RiRi alikua anapiga kelele baada ya kujua kwamba mapaparazi wanamchukua.
Hii ndio mara ya kwanza kwa RIHANNA na CHRIS BROWN kuonekana kwenye jengo moja baada ya miaka mitatu ambayo iliwaweka mbali kutokana na ishu yao kubwa ya ugomvi, ambapo hii picha imepigwa wakati wakiwa wanatoka kwenye club moja ya usiku juzi huko marekani, kila mmoja alitoka kwa njia yake.

No comments