Breaking News

RUMOURS....ETI BEYONCE AMEPATA BABY GAL...?!


BEYONCE KNOWLES AKA MR JIGGA
Kuna rumours kupitia kwenye mtandao wa twitter,kuwa Artist Beyonce baby girl aliyepewa jina la Tiana-May Carter
MR & MRS CARTER
Hivi karibuni ilifunguliwa kupitia mtandao wa kimbea zaidi dunia kuwa, Beyonce alitakiwa aende hospitali jijini New york ya St. Luke’s Roosevelt Hospital,na staff wa hospitali hiyo walitaarifiwa kuwa kuna celebrity VIP angekwenda,lakini haikufahamika kama ni Beyonce au vp na inasemekana kuwa amekodi karibu nusu ya sehemu ya hospitali hiyo ya kifahari aka Luxury Labour and Delivery Suite kwa ajili ya kujifungua,sehemu ambayo pia Artist Alicia Keys naye alijifungua mtoto wake aliyezaa na Artist/Producer Swizz Beatz
ST. LUKE’S ROOSEVELT HOSPITAL - NEW YORK

No comments