MSANII aliyetamba kwenye kiwanda cha filamu enzi zile Sintah(J.Lo wa bongo) amesema kuwa anatarajia kutoa filamu ya mwaka ambayo ameipa jina la ‘Sitaki Demu’, huku ikishirikisha wasanii wengine kama Juma Nature na nyota wa vichekesho kutoka Marekani Mr. Bean mwenye asili kutoka uingereza. Sintah aliweka wazi kuwa anataka kufanya filamu kwa kuvuka mipaka zaidi na akaweka wazi kuwa kufanya filamu na Juma Nature hakumaanishi kuwa uhusiano wa kimapenzi utachipua upy
......SINTAH KUWAWEKA PAMOJA JUMA NATURE NA MR. BEAN NDANI YA FILAMU YA SITAKI DEMU......
Reviewed by DjCashMizo
on
11:01 AM
Rating: 5
Your all round entertainer DJ at Bn Djz Entertainment,TV * RADIO * CLUB * EVENTS. Business: djcashmizo@gmail.com. Number One Website and East Africa online Music and Bn Djz Mixes, Video. Download Mp3, Videos, Latest hip hop, Gospel, And South African Song,All waves @
Recent Posts
Comments
DJCashMizo online Music and Video. Download Mp3, Videos, Latest hip hop, Gospel, And South African Song,East Africa,Western Music.
No comments