Breaking News

TAMKO LA JOSEPH MBILINYI


TAARIFA:
ILI KUONYESHA TUKO SERIOUS NA HILI JAMBO LA 'VAZI LA TAIFA',LEO NIMELIPELEKA RASMI KWENYE KAMATI YA BUNGE NIKIWA KAMA MWAKILISHI WA WANANCHI BUNGENI NA PIA MWANAKAMATI WA KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII AMBAYO WIZARA YA UTAMADUNI IKO CHINI YAKE...KAMATI IMELIPOKEA NA M/KITI MH JENISTA MHAGAMA AMESEMA ITABIDI SERIKALI KWA MAANA YA WIZARA HUSIKA ILETE SUALA HILO KWENYE KAMATI ILI LIJADILIWE...KWA HIYO BASI JAPOKUWA MAONI YENU KWA KWELI YANAJITOSHELEZA NA YAMETUMA UJUMBE WA WAZI KWA WAHUSIKA,LAKINI BADO NINGEPENDA KUJUA KAMA WEWE MDAU UNGEITWA KWENYE KAMATI HII YA BUNGE UNGETOA MAONI GANI KUHUSU HILI?!....
SHUKRANI!!!

No comments