Breaking News

UNAKUBALIANA NA P DIDDY KWA HILI?

Diddy & Rick Ross.
rappa P diddy aliekua rafiki wa karibu wa rapa Notorious B.I.G, amekubali kwamba rapa Rick Ross tuflon don the Boss, anapita kwenye line za B.I.G japo hataki kumfananisha kama BIG.
Diddy amesema wako ma mc wengi wanaotaka kupita kwenye njia hiyo hiyo lakini hawajaweza, ila rick ross mwenyewe ndio kaweza, na anaamini kwamba alipotaja kwamba Rick Ross ni mfalme kutoka kusini kama alivyokua BIGA, hakukosea kwa sababu alikuepo na bado anapafaham vizuri ndio maana anaona ni haki yake kumpa hilo taji Rick

No comments