Breaking News

UZINDUZI WA CLUB 40 – 40 YA JAY Z!!

Jay Z akiwa anaingia kwenye club yake ya usiku iitwayo 40-40, ambapo aliifunga kwa muda ili kuifanyia marekebisho na sasa imefunguliwa rasmi.
                    Fab, Angie Martines wa hot 97 na Swizz Bitz.
mtangazaji wa 106 & Park ya BET Terrence J na Selita Ebanks walialikwa pia.
Ashanti akiwa na Irvy Gotti mmiliki wa MURDER INC lebo iliyowatoa kimuziki Ashant, Lloyd na Ja rule, Irv na Ashanti walikua wanabeef lakini sasa limemalizika
mume wa Alicia Keys, producer/rapper Swizz Beatz akiwa anawasili! (picha zote kutoka kwa Necole)

No comments