Breaking News

Young Dee kumchukulia hatua za kisheria mtu aliefungua page ya Facebook kwa jina lake

                                
Young Rapper kutoka Authentic studios aamua kumjia juu mtu ambae amefungua Fun Page kwenye mtandao wa facebook na kujifanya yeye ni young dee huku akiwa ana post picha ili kuwafanya watu waamini uongo wake...sasa mtu mzima Young Dar es salaam a.k.a Young Dee amesema kua ana mipango ya kumchukulia mtu huyo atua za kisheria zaidi........Huku ni kurudishana nyuma na kuchafuliana tu majina (Alisema hivyo)…
                     

No comments