Breaking News

.......HATIMAE BEYONCE & JAY Z WAWEKA WAZI PICHA ZA MTOTO WAO......
Picha ya juu na chini ni Baby girl Blue Ivy.
Japo watu wengi walitarajiwa Bayonce na Jay z wangeziuza kwa mamilioni ya dola picha za mtoto wao kama alivyofanya J.Lo, wawili hao wameamua kuzitoa bure picha hizo kupitia website yao.
Baba na mwana.

No comments