Breaking News

HUYU MTOTO ANAFANANA NA BEYONCE ZAID KULIKO JAY Z

Kushoto ni Blue Ivy Carter na kulia ni Beyonce enzi za utoto wake. Kwa picha ambayo nusu saa baada ya kuwekwa mtandaoni ilikuwa imeshatembelewa na watu laki sita, ni wazi huyu mtoto anafanana zaidi na Beyonce kuliko Jay Z.

No comments