Breaking News

KILICHO ANDIKWA NA Fredrick Bundala KUPITIA FACE BOOK WATU WAMECOMENT NINI ?

Kusema ukweli mapatano kati ya Sugu na Ruge yameniacha na maswali mengi yasiyokuwa na majibu. 1. Movement ya Antivirus ilikuwa tayari imeanza kuwaingizia kipato Vinega na kwa mapatano hayo haitakuwa na nguvu tena kibiashara, ni kwanini Sugu amekubali kirahisi hivyo huku akijua hakutakuwa na show tena za antivirus (labda kama ni kulazimisha tu kwakuwa hazitakuwa na maana tena) Je kapewa nini kufidi...a hayo? (Kunahitajika upelelezi wa kina kubainisha hili) 2. Antivirus ilikuwa imejichukulia umaarufu kwa watu wengi ambao kwa hakika hawajafurahishwa na uamuzi huu, Je! Patatokea kundi jingine kubwa litakalokuwa na uhasama na wote wawili (Soma comments kwenye page ya IAM SWAHILI ORIGINAL). 3. Uamuzi huu utaleta mabadiliko gani kwa wasanii kama mapacha, Danny Msimamo na wengine waliokuwa upande wa Sugu na ambao kwa muda mrefu nyimbo zao hazichezwi na Clouds FM? 4. Kwakuwa uamuzi wa Sugu umetokana na yeye mwenyewe binafsi labda kwa ushauri kiasi kutoka kwa watu wake wa karibu bila kuwahusisha wanahakarakati wengine wa vuguvugu la Antivirus, Je! utamuathiri kisiasa hasa katika Jimbo la Mbeya mjini? 5. Kumalizika kwa uhasama huo hasa wakati huu kuna faida nyingi kuliko hasara katika midani ya burudani Tanzania?See More

  • Cousin'fally Kidoba Dat true sky woka.lakn mabadiliko ni muhimu
   about an hour ago ·
  • Jiwe Jeusi Tha Teller Unachosema ni ukweli kabisa,mi nashndwa kuelewa ni kwanin 2meuzwa ka nyanya sokon?
   about an hour ago · · 1
  • Kunn Murkan Bin Habib Ndio inavyotakiwa kuelewana@japo unalozungumzia ni kweli sky
   about an hour ago ·
  • Chaggamatrix Benson Duh !SKY umeeleza ukweli na je Kandamseto zao zitatoka tena.
   about an hour ago ·
  • Aby Real Katika siku nilzo kasirika leo number moja, wangetuambiaga tu kama anti virus ilikuwa ni beef baina ya sugu na ruge tujue? Na kwann akina Mamu walitajwa ndani na wengine nawahifadhi na je iweje wakae kikao na ruge peke yake kama lengo ni kwa yeyote anejihusisha na unyonyaji wa msanii??? Jaman jaman watanzania hawataki huo muafaka mbona hamuelewi, tunaanzisha yetu sasa ngojeni tu kama kuchana tunajua sana beats za marekani zipo ghetoo kibao tu studios zipo, ngojeni sasa
   about an hour ago · · 1
  • Mohamed Jongo Hii n biashara#
   about an hour ago · · 1
  • Manyesha Man'exa Haruna I'cant believe sky,vinega wataonekana hawana maana tena,
   about an hour ago ·
  • Cyril Chausi ina maana kina mchomvu na b12 ndo watakua wanapigia prOmo nyimbo za vinega?cpat picha kwa picha waliokua nayo vinega mtaan.
   about an hour ago ·
  • Didas Mugyabuso Man-u yaan hadi sahv bado cjaamin kama sugu anaweza kusalit namna hii
   about an hour ago ·
  • Aby Real wakitoa muendelezo tuna diss mwanzo mwisho, inakuja mixtape yetu sasa beats za america zipo ghetto, mistari tunayo mingi tu,,,,
   about an hour ago ·
  • Lazaro Collins Sugu amefanya haya makubaliano bila kufikiri kwa kina
   about an hour ago ·
  • Emmanuel Chambala Mmmh! habari hi imenishtua sana lakin nahic kuna jambo lipo limejificha litajulikana 2 mda c mrefu. . . !
   about an hour ago ·
  • Aby Real Rama D nahisi anajiskia aibu cuz ndo mwaka wake wa kwanza na ndo mwaka wa kuhabika, vumilia man tena hata bongo usirudi piga mingoma huko huko mbele,,,
   about an hour ago ·
  • Daud Adam Swaggz Bado celew vzur nn lengo la hayo mapatano? Am afraid abt dat,mi ntawachana wote!
   59 minutes ago ·
  • Winnie Michael Daima makosa hufanyika katika mawazo na maamuzi ni matunda ya makosa ya fikara! Hebu tuvute subira ili kuona matokeo yake!
   58 minutes ago ·
  • Amina Kibangali nikikumbuka lile bifu la malaria kama mzalendo roho inauma,cha msing asiache zile harakat za ant virus kupatana sio kusema harakat zimekufa
   57 minutes ago ·
  • Aby Real we winnie si tupo na hizi habari tangu zinaanza hatukuzijulia facebook kama ww? Sawa?
   56 minutes ago ·
  • Fredrick Bundala And the winner is...................................... Ruge!
   54 minutes ago ·
  • Innocent Mbilinyi Sean-snare Mapatano ya sugu na ruge cyo mwisho wa harakati za vinega@all
   54 minutes ago ·
  • Asante Nicodemu Khalifa Mgeni ahhh katika kitu alichokifanya sugu hiki ni cha kitoto, nimeshachoma mixtape ya antivirus nasubiri wapambanaji wengine, sugu kaiuza vinega
   53 minutes ago ·
  • Fredrick Bundala ‎@Innocent: Hakuna kitu kama hicho! Ni ngumu sana kumwelesha mtu hilo na akakuelewa
   52 minutes ago · · 1
  • Tiddy Hotter hzo ni busness zinaendelea behind the scene
   51 minutes ago ·
  • Amina Kibangali BUNDALA 2SAIDIE FANYEN MAHOJIANO NAE NA TUMUULIZE MASWALI MAANA AMENIBOA SANA
   50 minutes ago ·
  • Aby Real Kwenye shows za fiesta anaanza Mr choko late anakata mauno paaaale hafu anapanda Sugu duuuuh!!
   50 minutes ago · · 1
  • Fredrick Bundala ‎@Aby: ha ha ha!
   49 minutes ago ·
  • Innocent Mbilinyi Sean-snare ‎@bundala yap! Kiukweli mapatano yao nahs yapo kisiasa zaid ila cdhani kama harakati zavinega zitakufa, japo hayo mapatano yao nibonge la weaknes ktk harakati zavinega
   48 minutes ago ·
  • Daud Elias Mabanza yaani ni kama movie flan at the and to be continuo au kama alipouwawa osama sikuamini xo i jus compare na hii ya sugu.
   48 minutes ago ·
  • Aby Real hata mixtape ikitoka tena haitavutia tena, hivi mnalielewa hizi neno harakati au? Go chec out Malcom X biography,,, Sugu mbwiga tuuu na hatusapoti tena hata mcpofikia makubaliano,,,
   45 minutes ago ·
  • Noah Kajeleba Wameamisha mgogoro 2 hapo ngoja tungoje
   45 minutes ago ·
  • Noah Kajeleba Wameamisha mgogoro 2 hapo ngoja tungoje
   44 minutes ago ·
  • Shiddy Kalinga antivirus mpang mzm,ruge akizingua makavu km kw,vinega 2narud na WAFU EF once again,mchofu mazee sugu yawezekan hajakrpk
   44 minutes ago ·
  • Noah Kajeleba Wameamisha mgogoro 2 hapo ngoja tungoje
   44 minutes ago ·
  • Winnie Michael ‎@Aby, hata kama ulizijua kabla hazijatokea haijalishi ila unachopaswa kufanya ni kukumbuka kuwa si kila ajioneshae anajua yupo sahihi bali makosa yote ya mwanadamu ni ndani ya fikara kabla hajanena wala kutenda!
   42 minutes ago ·
  • Noah Kajeleba Wameamisha mgogoro 2 hapo ngoja tungoje
   42 minutes ago ·
  • Aby Real ‎@Winnie Aaaaah!!! Sugu umeudhi wanaharakati, i just feel like Throwin' Up,,,,
   40 minutes ago · · 1
  • Steven Nyabero ‎"Mapinduzi" yana gharama zake... Na ni muhimu watu kujua na kufahamu kwa urefu na mapana kuhusu wanachopigania. Vijana wamefikia hadi hatua ya kuwa tayari kujitoa mhanga, lakini hawajui fika nini hasa wanachopigania au kuongozwa kupigania.

   Propaganda.

   Jamaa katoa tamko...
   37 minutes ago ·
  • Yusuph Abubakary Kuna wa2 waliondoka cloudz kw mbwmbw je sa hvi itakuaje??
   37 minutes ago ·
  • Aby Real aisee mi naona kama Movie au tupo usingizin hapa? Lakin ndo ukweli et?
   37 minutes ago ·
  • Aby Real news kwa ambaye hajui Mike t kapost picture ya sugu na ruge wameshika mikono sasa hiv hapa, adobe didnt work on it
   32 minutes ago · · 1
  • Fredrick Bundala ‎@Steve: Tamko la nani hilo kaka?
   29 minutes ago ·
  • Fredrick Bundala ‎@Aby: Hiyo picha ni real, walikuwa na press conference leo
   29 minutes ago ·
  • Steven Nyabero Sugu katoa tamko tayari kuhusu mchakato mzima.. Msome hapa: Joseph Mbilinyi
   27 minutes ago ·
  • Mohamedi Marjeb sugu ame2angusha wanaharaki..wakidani msimamo cjui itakuaje!
   24 minutes ago ·
  • Saria Israel Du ama kweli duniani kuna mambo, sikutegemea kama hili lingetokea hivi karibuni!
   24 minutes ago ·
  • Fredrick Bundala ‎@Saria: Impact ya hii kitu imetikisa mpaka London! Yeah duniani kuna mambo bro
   20 minutes ago ·
  • Noel Thomson swali ni kapewa nini kufidia project yke yani kila mmoja wetu kaduwaa, dah!!!!
   18 minutes ago ·
  • Fredrick Bundala ‎"Kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na Ruge/Clouds FM,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa Vinega kwa maana kwamba madai yetu yote ya msingi ndio yalikuwa msingi wa majadiliano na Ruge amekubali kuyatekeleza yote...kuanzia suala la studio ya Rais kurudishwa kwa BASATA ili iwe ya wasanii wote,pia T,FU ijikabidhi kwa chama halali cha wasanii yaani T.U.M.A kama ambavyo tulikuwa tunadai na mpaka issue za wasanii kunyanyaswa na kubaniwa na pia suala la malipo hafifu vyote vimejadiliwa na kukubaliwa kwa utekelezaji...haikuwa kazi rahisi,kwanza ilianza kwa wao kumpigia Mwenyekiti wangu Mbowe kutaka tukae chini,ambapo Kamanda Mbowe alinishauri tukae nao chini kama kweli wana nia ya kuyamaliza...baadaye wakampigia Mr Shigongo ambaye ni wazi kuwa ni kati ya watu wangu wa karibu naye baada ya kuongea na Mr. Kusaga tu alinipigia na kunishauri hivyo hivyo...na kama haikutosha wakalifikisha hili suala kwenye Kamati ya Bunge ambayo ilinitaka niipe maelezo ya kiini cha mgogoro na nikafanya hivyo ambapo pia baada ya kunielewa wakashauri nikae nao chini...na hatimaye suala hili likaishia mikononi mwa Waziri Nchimbi pamoja na Mhe. Tundu Lissu(MP) kuwa wapatanishi wetu...Waziri Nchimbi akaanza kwa kumuita Ruge Dodoma na alikuja tukakaa kwa hatua ya kwanza na hatimaye leo tukakaa tena makao makuu ya Wizara ya Utamaduni chini ya Dr Nchimbi na Mhe Tundu Lissu na hatimaye tukafikia hatua hii ya leo...vita yetu ilikuwa na hoja hatukuwa tunapigana tu kwa chuki binafsi kama baadhi ya watu walivyokuwa wanajaribu kuiweka,kwahiyo kama hoja zetu zimeeleweka kwa sasa tunatakiwa kushukuru na kufurahia...lakini naomba niwahakikishie misimamo iko pale pale na nimewaweka wazi kuwa anti-virus itaendelea kuwepo ili kuendelea ku-scan virus wengine kama mameneja masoko na wengine watakaojitokeza kwani nchi inaposhinda vita au hata kufikia tu makubaliano ya amani na nchi adui yake haina maana nchi hiyo inavunja jeshi lake...

   asanteni sana..." Sugu
   13 minutes ago ·
  • Aby Real Sugu kaandika upuuzi hata mm siwez kuongea mbele ya watu wa harakati,,,, halafu vinega waelewe sisi tuliwasapoti cuz lengo lilkuwa zuri sana, sio kama wao wanajua saaana kuchana No,,,, na radio clouds zikchezwa hatusapoti vile vile wala msidhani ni ushindi huo nyie waseng* kweli,,,,,
   2 minutes ago ·