Breaking News

LINEX ATAJA SABABU ZA KUKUBALI KWAMBA DIAMOND NI NAMBA 1 TANZANIA!

                                                                   Linex & Diamond
Mshkaji kutoka Kigoma 89.2 Tanzania mwimbaji LINEX amekubali kwamba kwa sasa DIAMOND PLATNUMS ndio mwimbaji namba moja Tanzania kwenye upande wa bongofleva.
Pamoja na kumtaja Diamond kuwa wa kwanza, Linex amesema “kuna waimbaji wengine wengi wanaofanya kazi nzuri, na wala sio kwamba Diamond anajua kuliko waimbaji wengine”
Linex ambae amezaliwa feb 14  “kilichonifanya nimpe Diamond nafasi ya kwanza ni kwa sababu amefanya tukio la kunishangaza, amefanya kolabo kwenye wimbo wangu na amenivuruga, amenichanganya na kunisuprise kabisa”
Sasa hivi LINEX & DIAMOND wanasingle mpya inaitwa UTAIWEKA WAPI, yani utaiweka wapi sura yako ukiishia kununulia watu bia baa wakati nyumbani wanalala njaa, single ambayo imefanyika baada ya mwaka mmoja na nusu toka Linex alipomwambia Diamond wafanye kolabo, umefanywa na producer C

No comments