Breaking News

........MSANII JOSE CHAMELEONE APATA MTOTO WA NNE.......


Msanii Jose Chameleone akiwa na mke wake pamoja na mtoto wao mchanga aliezaliwa siku chache zilizopita, Anaitwa ALBA SHYNE MAYANJA, ni mtoto wa tatu wa Chameleone na mkewe Daniella lakini ni mtoto wa nne kwa Chameleone manake kuna mmoja alimpata na yule mpenzi wake mzungu wa zamani (shukran Bill da Afrikan).

No comments