Breaking News

MTOTO WA HOUSTON AZIMIA AKIMBIZWA HOSPITAL ?


Houston Bobbi Kristina Brown mwenye umri wa miaka 18 amekimbizwa tena hospitali hii ikiwa ni mara ya pili kukimbizwa hospitali toka kifo cha mama yake kilipotokea.
TMZ wameripoti kwamba kabla ya kupelekwa hospitali, Bobbi alisikika akigombana kwa sauti kubwa kwenye hoteli ambayo mama yake amefariki dunia, na ugomvi huo ulitokea baada ya polisi kumnyima kuuangalia mwili wa mama yake.
Bobbi Kristina ni mtoto pekee wa Whitney kutoka kwa mume wake wa zamani Bobby Brown ambae walioana mwaka 1992 na kuachana 2007.
hiyo video hapo chini, ndio mara yake ya mwisho kuonekana hadharani kwa mujibu wa rap up.

No comments