TYGA NDANI YA NEW RYD!
Hili
ndio gari jipya la rapper TYGA, ni AUDI R8 Metallic-Gold ambayo
ameinunua siku chache zilizopita na kuiweka kwenye moja kati ya
mafanikio makubwa aliyoyapata toka ajiunge na YOUNG MONEY baada ya
kupata mafanikio ya album yake yenye hits kama 'Rack City" ambapo
ametumia dola laki moja na nusu za kimarekani kulinunua hilo gari, na
baada ya kulichukua akatumia dola nyingine laki moja kununua matairi
yenye rim za swagg.
Tyga
huyu huyu ndio AY ametangaza kwamba anafanya nae kolabo, ambayo itatoka
kabla ya june 2012, itakua kolabo ya nne ya AY kupiga na wasanii wakubwa
wa dunia, baada ya Romeo & Lamyia, Young Joc na Tanto Metro na
Devonte
No comments