Breaking News

Mkono Che che Rhumba -Toka Rwanda Mpaka TZ B Friends feat Mani Martin-JP PRODUCTION PRODUC JP

               B friends Nikundi ambalo linaungwa na wasanii wawili Kisukikali &Ozzb hawa niwazaliwa katika mkoa wa kagera Hivi karibuni walitembelea mkoa wa kagera na kukutana na Dj cashmizo wananyimbo nyingi zikiwemo Nimekudelete , Mzuri ,Njakumisinga,Garasa waliomshilikisha Alkiba etc

                                  Unaweza sikiliza nyimbo inayo wasimamisha pande za Rwanda Che che RhumbaFriends feat Mani Martin-JP PRODUCTION PRODUC JP bofya   hapachini.
VIDIO YA GARASA

No comments