Breaking News

NEW TRACK :Jan B Kiwia na wimbo wakeMpya uiitwayo Pretty Girl.


Habari zenu Wadau. Namtambulisha kwenu Jan B Kiwia na wimbo wake huu uiitwayo Pretty Girl.
Wimbo umefanyika katika studio za STOCKHOME RECORDS ( byd-media.net).
Umetengenezwa na watayarishaji wakimataifa wa muziki hapa Ulaya (Troy
Jamz na Tinox) . JanB ni msanii chipukizi wa Kitanzania ambae anafanya
muziki wa Bongo flava katika hadhi ya Hip hop Commercial, Pop na
House. kwa sasa anafanya kazi na label yake binafsi ''JanB
Multimedia'' pamoja Stockhome Records na ''Conceretesteppa''
http://www.concretesteppa.com/pictures/ .Pretty Girl ni track yake ya
kwanza kabisa katika tasnia hii ya muziki ambayo kamshirikisha
chipukizi wa RnB kutoka Tanzania Obi Elinami ''The Tanzania King of
RnB''

Kwa sasa JanB kupitia JanB Multimedia label, Stockhome records na
Concretesteppa anatengeneza solo project yake ya kwanza akiwa na
wasnii wa kimataifa hapa Ulaya pamoja na Obi Elinami. JanB Multimedia
ni label mpya ya kitanzania ambayo itajikita katika kutangaza muziki
wa kitanzania katika level ya kimataifa. Itajumuisha kufanya kazi na
wasanii mbalimbali wa Tanzania, E.A na Afrika katika ''next level
production'' kuanzia audio recording, music video production,
matangazo ya kibiashara (Tv commercial & radio commercial) na
Videographer/Photographer/Video & Photo Animators. Kazi zote (Products
& services) ziko chini ya uangalizi (Protection) na ''Neptune Law
Attorneys'' na kazi za JanB ziko na zitakuwa chini ya Copy right ya
''Stim''http://www.stim.se/en/ pamoja na wasanii ambao watafanya kazi
na label hii. Hii ni kwajili ya kuepuka unyonyaji na wizi na copy and
paste. Pia JanB Multimedia itajikita zaidi kwenye entertainment na
JanB Clothing line hapo baadae.

Kwa maelezo zaidi kuhusu JanB tembelea tovuti yake binafsi
http://www.janbonline.com/ . Tovuti ya kizalendo katika kutangaza
uzuri wa Tanzania kupitia entertainment. Pia habari zake pia ziko
katika link zake kama ifuatavyo;

Web page: http://www.janbonline.com/
You tube channel:http://www.youtube.com/user/JanBVEVO/videos
Twitter: http://twitter.com/#!/JanBkiwia
Facebook: http://www.facebook.com/#!/JanBizoo
Facebook page: http://www.facebook.com/pages/JanBonline/229144380505452
Flickr: http://www.flickr.com/photos/79248478@N08/

''Mtarajie mambo makubwa kuanzia mwaka huu maake JanB ataipeperusha
vema bendera ya Tanzania katika level ya kimataifa''
Message :''Nimejaribu, ninaweza, nitaboresha kama nikiwezeshwa na
kushirikishwa''-JanB

No comments