Breaking News

JAY - Z - WILL SMITH WAMUUNGA MKONO OBAMA KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA                                            Wanamuziki  Jay-Z na Will Smith wameunga mkono tamko la Rais  Barack Obama kukubali ndoa za jinsia moja Nchini Marekani, tamko ambalo lilipokelewa kwa hisia tofauti nchini na  kwengine kote  Duniani.Will Smith alisifia tamko la Obama kuwa ni la kijasiri katika mwaka wa uchaguzi nchini Marekani, na aliendelea kusema kwamba ni jambo la kuunga mkono mtu yoyote akipata mwenzake wa kuwapenda na kuwasaidiana katika maisha.Kwa upande wake Jay - Z alisema anaamini kuwa wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kuwa na haki ya kuoana, na kwamba kinachofanyika majumbani mwao si suala lao wenyewe.

No comments