Breaking News

MNAOMFATILIA J.LO HIZI NDIO PICHA ZAKE ZA JANA NA BOYFRIEND WAKE MPYA.

                                         Hivi ndivyo Jennifer Lopez alivyoonekana jana huko Hollywood Marekani wakati akienda kutangaza Tour yake ya dunia atakayokua na Enrique Iglesias, She paired the $7800 dress with a pair of black platform Giuseppe Zanotti pumps which gave her a few extra inches in height compared to her new boo Casper Smart.
J.lo akiwa na boyfriend wake mpya ambae amechukua nafasi ya mumewe wa zamani mwimbaji Marc Anthony.
.

No comments