Breaking News

NEW TRACK : HIVYO SIVYO - PUYA MAN

 Artist Puya Man ni msanii ambaye anatokea katika Manispaa ya Bukoba ni baada ya kufa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa aja na track mpya katika miondoko ya Ragga &Reggae ridhim na dancehall,Kabla ya ivyo sivyo ametamba na track kama K.O ,more fire alizozifanya ktk studio za am records chini ya producer manekhe,kwa sasa yupo ktk mpango wa kumalizia albam yake ya kwanza
Ngoma imefanyika katika studio za Am record chini ya producer Maneck track inakwenda kwa jina la Ivyo sivyo BOFYA HAPA CHINI UPATE KUDOWN LOAD NA KUSIKILIZA PIA "Naomba msaada wako kunifikisha panapohusika"

No comments